Shule 10 Bora Matokeo Form Six 2022/2023
Hii ni Orodha ya Shule Kumi Bora Kitaifa Matokeo ya Kidato cha Sita 2022-2023 Iliyotolewa rasmi na NECTA Mwezi Huu ambapo shule Shule mbili (2) za serikali zimesalia katika orodha hii ukilinganisha na mwaka jana.
- 1#. Kemebos Sekondari, Kagera -*Binafsi.*
- 2#. Kisimiri Sekondari ,Arusha – *Serikali.*
- 3#. Tabora Boys Sekondari ,,Tabora – *Serikali.*
- 4#. Tabora Girls Tabora – Serikali.*
- 5#. Ahmes Sekondari ,Pwani -*Serikali.*
- 6#. Dareda Sekondari ,Manyara – *Serikali.*
- 7#. Nyaishozi Sekondari, Kagera -*Binafsi.*
- 8#. Mzumbe Sekondari, Morogoro, *Serikali.*
- 9#. Mkindi, Tanga – *Serikali.*
- 10#. Ziba, Tabora – *Serikali.*
0 Maoni